Ufafanuzi wa janaba katika Kiswahili

janaba

nomino

  • 1

    hali ya mtu kuwa mchafu baada ya kufanya kitendo cha kuingiliana, kutokwa na manii katika ndoto au kwa kutoa manii mwenyewe.

Asili

Kar

Matamshi

janaba

/Ê„anaba/