Ufafanuzi wa jasirisha katika Kiswahili

jasirisha, jusurisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu awe jasiri.

Asili

Kar

Matamshi

jasirisha

/ʄasiri∫a/