Ufafanuzi wa jasusi katika Kiswahili

jasusi

nominoPlural majasusi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya upelelezi nje ya nchi yake kwa niaba ya nchi yake.

Asili

Kar

Matamshi

jasusi

/ʄasusi/