Ufafanuzi wa jembe katika Kiswahili

jembe

nominoPlural majembe

  • 1

    chombo cha kulimia au kuchimbia ardhi ambacho ama hushikwa mkononi au hukokotwa na trekta au mnyama.

    ‘Jembe la mkono’
    ‘Jembe la trekta’

Matamshi

jembe

/ʄɛmbɛ/