Ufafanuzi wa jeneza katika Kiswahili

jeneza

nominoPlural majeneza

  • 1

    sanduku la kuzikia maiti.

    kitanda

  • 2

    kitanda maalumu cha kuchukulia maiti hadi kaburini.

    tusi

Asili

Kar

Matamshi

jeneza

/ʄɛnɛza/