Ufafanuzi wa jerikeni katika Kiswahili

jerikeni

nomino

  • 1

    chombo chenye umbo la bapa kilichotengenezwa kwa bati au plastiki kwa ajili ya kuwekea vioevu.

Asili

Kng

Matamshi

jerikeni

/ʄɛrikɛni/