Ufafanuzi wa jezi katika Kiswahili

jezi

nominoPlural jezi

  • 1

    fulana inayovaliwa na wanamichezo.

  • 2

    sweta isiyo na mikono.

Asili

Kng

Matamshi

jezi

/ʄɛzi/