Ufafanuzi wa jibaidisha katika Kiswahili

jibaidisha

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kutojihusisha na kitu au jambo.

    ‘Unapoona ugomvi ondoka, ili kujibaidisha na ugomvi huo’
    jitenga

Matamshi

jibaidisha

/ʄibaIdi∫a/