Ufafanuzi wa jihimu katika Kiswahili

jihimu

kitenzi sielekezi~isha

  • 1

    amka alfajiri na mapema.

    rauka, damka

Matamshi

jihimu

/ʄihimu/