Ufafanuzi wa jikita katika Kiswahili

jikita

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  simama wima imara.

 • 2

  kuwa madhubuti kuhusu mwelekeo fulani.

  ‘Jikita katika itikadi za kimaendeleo’

 • 3

  jisifu, jinaki, jibodoa, jinadi, jifutua, jigamba, jifaragua, jivuna

Matamshi

jikita

/ʄikita/