Ufafanuzi wa jinsia katika Kiswahili

jinsia

nominoPlural jinsia

  • 1

    masuala yanayoambatana na mambo yanayohusu mwanamume na mwanamke.

    uana

Asili

Kar

Matamshi

jinsia

/ʄinsija/