Ufafanuzi wa jira katika Kiswahili

jira

nominoPlural jira

  • 1

    mbegu zenye rangi ya kahawia zinazotumika kama bizari katika upishi, hasa wa pilau.

  • 2

    bizari nzima; bizari nyembamba.

    bizari

Asili

Khi

Matamshi

jira

/ʄira/