Ufafanuzi wa jitanibu katika Kiswahili

jitanibu

kitenzi sielekezi

  • 1

    jitenga kando; jiweka mbali na watu au mji.

    baidika, jitenga

Asili

Kar

Matamshi

jitanibu

/Ę„itanibu/