Ufafanuzi wa jitetea katika Kiswahili

jitetea

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa kauli mbele za watu kuonyesha kuwa hukufanya kitu fulani au kwa kusudi ya kufanyiwa jambo.

Matamshi

jitetea

/ʄitɛtɛja/