Ufafanuzi wa jivuna katika Kiswahili

jivuna

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    hisi kuwa una zaidi kuliko wengine; jiona bora.

    jiona, jibodoa, ringa, jifaragua, shana, jeta

Matamshi

jivuna

/ʄivuna/