Ufafanuzi wa jongelea katika Kiswahili

jongelea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    enda karibu.

    karibia

Matamshi

jongelea

/ʄɔngɛlɛja/