Ufafanuzi wa joyo katika Kiswahili

joyo

nominoPlural joyo

  • 1

    moyo wa kitu chochote; sehemu ya katikati ya kitu ambayo mara nyingi huwa laini.

Matamshi

joyo

/ʄɔjɔ/