Ufafanuzi msingi wa juba katika Kiswahili

: juba1juba2

juba1

nominoPlural juba, Plural majuba

  • 1

    koti kubwa lenye ukosi na mikono mipana, linalofanana na joho lakini halina nakshi au zari.

    mfuria

Ufafanuzi msingi wa juba katika Kiswahili

: juba1juba2

juba2

nominoPlural juba, Plural majuba

Asili

Kar

Matamshi

juba

/Ę„uba/