Ufafanuzi wa Jumatano katika Kiswahili

Jumatano

nominoPlural Jumatano

  • 1

    siku ya tano ya juma kuanzia Jumamosi.

Matamshi

Jumatano

/ʄumatanɔ/