Ufafanuzi wa jumla katika Kiswahili

jumla

nomino

  • 1

    vitu au mambo yote pamoja.

  • 2

    kinyume cha rejareja.

  • 3

    hesabu, idadi

Asili

Kar

Matamshi

jumla

/ʄumla/