Ufafanuzi wa juvya katika Kiswahili

juvya

kitenzi elekezi

  • 1

    ‘Nia yake haikuwa tu kutoa uamuzi, bali kuwajuvya wananchi’
    elewesha
    , → gotoa
    , and → elimisha

Matamshi

juvya

/ʄuvja/