Ufafanuzi msingi wa kaa katika Kiswahili

: kaa1kaa2kaa3kaa4kaa5kaa6

kaa1

nominoPlural makaa, Plural kaa

 • 1

  kipande cheusi cha kuni kilichochomwa na kuzimwa kabla ya kuwa majivu; kipande chekundu cha kuni chenye moto.

Matamshi

kaa

/ka:/

Ufafanuzi msingi wa kaa katika Kiswahili

: kaa1kaa2kaa3kaa4kaa5kaa6

kaa2

nominoPlural makaa, Plural kaa

 • 1

  mnyama mdogo wa majini mwenye miguu sita au zaidi na gamba mwilini.

Matamshi

kaa

/ka:/

Ufafanuzi msingi wa kaa katika Kiswahili

: kaa1kaa2kaa3kaa4kaa5kaa6

kaa3

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liana, ~liwa

 • 1

  weka matako au makalio juu ya kitu.

  ‘Kaa kitini’
  ‘Kaa chini’
  keti, jilisi

Matamshi

kaa

/ka:/

Ufafanuzi msingi wa kaa katika Kiswahili

: kaa1kaa2kaa3kaa4kaa5kaa6

kaa4

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liana, ~liwa

 • 1

  kuwa na maskani mahali.

  ishi

 • 2

  kuwa mahali kwa muda fulani.

  dumu

Matamshi

kaa

/ka:/

Ufafanuzi msingi wa kaa katika Kiswahili

: kaa1kaa2kaa3kaa4kaa5kaa6

kaa5

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liana, ~liwa

 • 1

  tumika muda mrefu.

  dumu

Matamshi

kaa

/ka:/

Ufafanuzi msingi wa kaa katika Kiswahili

: kaa1kaa2kaa3kaa4kaa5kaa6

kaa6

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liana, ~liwa

 • 1

  ‘Nguo zimemkaa’
  ‘Nyumba imekaa vizuri’

Matamshi

kaa

/ka:/