Ufafanuzi msingi wa kabidhi katika Kiswahili

: kabidhi1kabidhi2

kabidhi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kumpa mtu kitu, agh. haki au amana.

  ‘Kabidhi mali’
  -pa, patia, stakabidhi

Asili

Kar

Matamshi

kabidhi

/kabiði/

Ufafanuzi msingi wa kabidhi katika Kiswahili

: kabidhi1kabidhi2

kabidhi2

kivumishi

 • 1

  -enye kutumia fedha au mali kwa uangalifu.

  mtunduizi

 • 2

  bahili

Matamshi

kabidhi

/kabiði/