Ufafanuzi wa kabwela katika Kiswahili

kabwela

nomino

  • 1

    mtu wa kawaida asiye na pato la haja.

    yahe, mnyonge

Matamshi

kabwela

/kabwɛla/