Ufafanuzi wa kadi katika Kiswahili

kadi

nominoPlural kadi

 • 1

  karatasi ngumu.

 • 2

  barua ya kukaribishwa kwenye karamu au sherehe.

  ‘Kadi ya harusi’

 • 3

  hati ya kazi au ya kitambulisho cha uanachama.

  ‘Kadi ya chama’

Asili

Kng

Matamshi

kadi

/kadi/