Ufafanuzi wa kahaba katika Kiswahili

kahaba

nominoPlural makahaba

  • 1

    mtu anayefanya mambo ya uasherati, agh. kuwa ni biashara au starehe yake.

    malaya, mzinzi, kirukanjia, changudoa, kiberenge, kibiritingoma, kisabaluu, mtalaleshi, mwanamkendege

Asili

Kar

Matamshi

kahaba

/kahaba/