Ufafanuzi wa kailula katika Kiswahili

kailula

nomino

  • 1

    usingizi wa muda mfupi hasa baina ya adhuhuri na alasiri baada ya chamcha.

Asili

Kar

Matamshi

kailula

/kajilula/