Ufafanuzi wa kakamia katika Kiswahili

kakamia

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya jitihada kwa kukazana ili kupata kitu.

    kamia

Matamshi

kakamia

/kakamija/