Ufafanuzi wa kakata katika Kiswahili

kakata

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kula kwa ulafi.

Matamshi

kakata

/kakata/