Ufafanuzi wa kalori katika Kiswahili

kalori

nominoPlural kalori

  • 1

    kizio cha joto.

  • 2

    kizio au kipimo cha joto linalotolewa na chakula.

Asili

Kng

Matamshi

kalori

/kalɔri/