Ufafanuzi wa kamanda katika Kiswahili

kamanda

nominoPlural makamanda

  • 1

    kiongozi wa jeshi, polisi, manowari, n.k..

    ‘Kamanda wa polisi’
    ‘Kamanda mkuu’

Asili

Kng

Matamshi

kamanda

/kamanda/