Ufafanuzi msingi wa kambarau katika Kiswahili

: kambarau1kambarau2

kambarau1

nomino

 • 1

  kreni

 • 2

  lifti, eleveta

Matamshi

kambarau

/kambarawu/

Ufafanuzi msingi wa kambarau katika Kiswahili

: kambarau1kambarau2

kambarau2

nomino

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kamba ya ziada katika jahazi inayotumika kusaidia jahazi wakati wa upepo mwingi.

Matamshi

kambarau

/kambarawu/