Ufafanuzi wa kamisheni katika Kiswahili

kamisheni

nominoPlural kamisheni

  • 1

    kikundi cha watu kilichoundwa kwa lengo la kufanya kazi maalumu.

    tume

Asili

Kng

Matamshi

kamisheni

/kamiʃɛni/