Ufafanuzi msingi wa kana katika Kiswahili

: kana1kana2kana3

kana1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  kataa kukiri au kukubali jambo.

  iza, ruka, kataa

Matamshi

kana

/kana/

Ufafanuzi msingi wa kana katika Kiswahili

: kana1kana2kana3

kana2

nominoPlural kana

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  mkono wa usukani wa mashua.

  mkombo

Asili

Kre

Matamshi

kana

/kana/

Ufafanuzi msingi wa kana katika Kiswahili

: kana1kana2kana3

kana3

kiunganishi

 • 1

  mfano wa; kama kwamba.

  ja

Matamshi

kana

/kana/