Ufafanuzi wa kanadili katika Kiswahili

kanadili

nominoPlural makanadili

  • 1

    chumba kidogo kilichoko pembeni mwa chombo cha bahari kinachotumiwa kama choo.

Matamshi

kanadili

/kanadili/