Ufafanuzi wa kanja katika Kiswahili

kanja

nominoPlural makanja

  • 1

    kuti la mnazi lililosukwa pamoja.

  • 2

    mkeka ulioshonwa kwa ukili.

Matamshi

kanja

/kanʄa/