Ufafanuzi wa kansa katika Kiswahili

kansa

nomino

  • 1

    uvimbe au uotaji usio wa kawaida wa seli katika mwili wa binadamu ambao huweza kusababisha kifo.

    ‘Utafiti wa magonjwa ya kansa umeanzishwa nchini’
    saratani

Matamshi

kansa

/kansa/