Ufafanuzi wa karaa katika Kiswahili

karaa

nominoPlural makaraa

Kidini
  • 1

    Kidini
    kifungu katika sura ya Kurani.

Asili

Kar

Matamshi

karaa

/kara:/