Ufafanuzi wa karadha katika Kiswahili

karadha

nominoPlural karadha

  • 1

    fedha zilizokopwa au kukopeshwa bila ya riba.

    methali ‘Wali deni, mchuzi karadha’
    mkopo

Asili

Kar

Matamshi

karadha

/karaĆ°a/