Ufafanuzi wa karaha katika Kiswahili

karaha

nominoPlural karaha

  • 1

    hali ya kuchukizwa na kitu, mtu au jambo.

    maudhi, kero, adha, makuruhu, ikirahi

Asili

Kar

Matamshi

karaha

/karaha/