Ufafanuzi wa karamshi katika Kiswahili

karamshi

kivumishi

  • 1

    -enye uchangamfu.

  • 2

    -enye ujanjaujanja.

Matamshi

karamshi

/karamʃi/