Ufafanuzi wa karasa katika Kiswahili

karasa

nominoPlural karasa

  • 1

    mnyama mdogo anayefanana na nguchiro, hukamata na kula kuku.

Matamshi

karasa

/karasa/