Ufafanuzi wa karela katika Kiswahili

karela

nominoPlural karela

  • 1

    mmea unaotambaa wenye kuzaa maua ya njano na matunda kama tango, hutumiwa kuwa ni kitoweo.

  • 2

    aina ya mboga ya mmea huo.

Asili

Khi

Matamshi

karela

/karɛla/