Ufafanuzi wa karibuni katika Kiswahili

karibuni

kielezi

  • 1

    katika muda mfupi tu uliopita.

    ‘Hivi karibuni’

Asili

Kar

Matamshi

karibuni

/karibuni/