Ufafanuzi msingi wa karimu katika Kiswahili

: karimu1karimu2Karimu3

karimu1

nominoPlural makarimu

  • 1

    mtu mwenye kupenda sana kutoa au kusaidia kwa hali au mali bila ya kuwa na choyo wala kufanya ubahili.

Matamshi

karimu

/karimu/

Ufafanuzi msingi wa karimu katika Kiswahili

: karimu1karimu2Karimu3

karimu2

kivumishi

  • 1

    -enye kupenda sana kutoa au kusaidia kwa hali au mali bila ya kuwa na choyo wala kufanya ubahili.

Asili

Kar

Matamshi

karimu

/karimu/

Ufafanuzi msingi wa karimu katika Kiswahili

: karimu1karimu2Karimu3

Karimu3

nominoPlural Karimu

Asili

Kar

Matamshi

Karimu

/karimu/