Ufafanuzi wa karwe katika Kiswahili

karwe

nomino

  • 1

    samaki wa jamii ya taa mwenye mwiba wenye sumu kali.

Matamshi

karwe

/karwɛ/