Ufafanuzi wa kasino katika Kiswahili

kasino

nominoPlural kasino

  • 1

    chumba, nyumba, klabu au jengo maalumu ambamo michezo ya kamari huchezwa.

Asili

Kng

Matamshi

kasino

/kasinO/