Ufafanuzi wa katakata katika Kiswahili

katakata

kielezi

  • 1

    msisitizo unaotumiwa kutilia nguvu ukanushaji.

    ‘Kataa katakata’
    kabisa

Matamshi

katakata

/katakata/