Ufafanuzi wa kataza katika Kiswahili

kataza

kitenzi elekezi

  • 1

    ambia au fanya mtu asitende jambo fulani; kutoruhusu mtu kufanya jambo fulani.

    zuia, asa

Matamshi

kataza

/kataza/