Ufafanuzi wa katheta katika Kiswahili

katheta

nominoPlural katheta

  • 1

    chombo kirefu kama mwanzi kilichotengenezwa kwa chuma au mpira chenye kupinda nchani ambacho huingizwa kwenye sehemu fulani za mwili wa binadamu ili kutoa uowevu.

Asili

Kng

Matamshi

katheta

/kaθɛta/